RAIS JAKAYA AHUDHURIA MAULID KWA DR. SALMIN AMOUR!!

Rais Jakaya Kikwete akiagana na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dr. Salmin Amour mara baada ya kuhudhuria Maulid iliyoandaliwa na Dr. Salmin Amour kijijini kwake Kidombo huko Zanzibar

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment