KODJO ANTUI KATIKA TAMASHA LA FESPACO NCHINI GHANA!!

Msanii nyota wa Ghana, Kodjo Antui akitumbuiza katika tamasha
la FESPACO 2009 kwenye Uwanja wa Taifa wa Stade du 4-aout, mjini
Ouagadougou tamasha hilo la filamu na televisheni (Pan African film and Television) lilifanyika hivi karibuni nchini humo.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment