KARIBU KWA MAMA CHUCHUMAA MDAU!!

Mara utakapopata nafasi ya kutembelea mikoa ya nyanda za juu kusini mkoa wa Mbeya usikose kupita katika mkahawa huu maarufu sana mkoani humo uko maeneo ya Meta utapata kifungua kinywa safi huku ukikaribishwa na jina litakalokuongezea furaha na pengine utakumbwa na kicheko, mdau hayo ndiyo mojawapo ya mambo yanayofurahisha mara unapokaribia katika mkahawa huo.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment