EZEKIEL MAIGE AFUNGUA SEMINA YA MAWAKALA MISS TANZANIA!!

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Ezekiel Maige akijibu maswali yaliyoulizwa na waandishi wakati wa uzinduzi wa miss Tanzania inayofanyika leo na kesho kwenye Hoyeli ya Regency Park Msasani kauli mbiu ya Miss Tanzania mwaka huu ni kutangaza Utalii wetu katika picha wanaofuatia ni Balozi Ammy Mpungwe Mwenyekiti wa Tanzanite One George Rwhumbiza Meneja Udhamini na Mawasiliano Vodacom na Bosco Majaliwa katibu mkuu Miss Tanzania.
Hapa Mawakala wakisikiliza kwa makini hotuba iliyotolewa na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Ezekiel Maige.
Makala wa Miss Tanzania wa kanda na mikoa wakipozi kwa picha ya pamoja na mgeni rasmi naibu waMaliasili na Utalii Wzekiel Maige leo mchana katika uzinduzi wa semina hiyo inayofanyika katika Hoteli ya Regency Park Msasani.



You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment