Timu za Uingereza Riverpool na Chelsea zitakutana katika robo fainali ya ligi ya mabingwa ulaya mwezi ujao kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa na UEFA timu hizo zinakutana baada ya kupita katika michezo yao iliyopita, katika ratiba hiyo inaonyesha kuwa pia manchester United itakutana na Fc Porto ya Ureno na Arsenal na Villareal ya Hispania na washindi katika michezo hiyo watakutana katika nusu fainali Bayern Munich ya Ujerumani itakutana na Barcelona ya Hispania michezo ya kwanza utakuwa kati ya tarehe 7 na 8 mwezi aprili na michezo ya marudiano itafanyika kati ya 14 na 15 mwezi huohuo 2009
BREAKING NEUUUZ, LIVERPOOL NA CHELSEA KUKUTANA LIGI YA MABINGWA ULAYA!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment