BONGO STAR SEARCH TABORA YAVUTA VIJANA WENGI!!

Washindi wa BSS Tabora (wenye T-shirt nyeupe) kutoka kushoto: Shaban Mrisho, Leah Julius, Rajab Miraj na Kayombe Khamis
wakiwa kwenye picha ya pamoja na Meneja Huduma na Bidhaa wa Vodacom - Elihuruma Ngowi mara baada ya kutangazwa kuwa washindi Jumapili, Mach 15, 2009
Majaji wa Bongo Star Search aliyesimama ni P. Funk aliyekaa kati ni Master J. na aliyekaa kulia ni Elihuruma Ngowi Meneja huduma na Bidhaa wa Vodacom wakiwa tayari kwa uasili wa wasanii

vijana mbalimbali wakiwa wamejitokeza kwenye usaili wa Bongo Star Search uliofanyika mjini Tabora ukiwa katika msururu tayari kwa kusailiwa.



You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment