Kijana Ibrahim Said katikati anayedaiwa kumshambulia Rais Mstaafu Ally Hassan Mwinyi katika Sherehe za Baraza la Maulid Diamond Jubilee alipokuwa akiwahutubia waumini wa Kiislamu, akiwa katika mahakama ya Kisutu leo, tayari kwa kusikiliza kesi yake itakapotajwa kwa mara kwanza leo waliokaa pembeni ni miongoni mwa mabaharia wa meli ya uvuvi haramu waliofikishwa pia mahakamani hapo.
Maharamia wa Uvuvi haramu wakiwa katika mahakama ya hakimu mkazi Kisutu leo asubuhi baada ya kufikishwa mahakamani hapo kujibu tuhuma mbalimbali zinazowakabili wakidaiwa kufannya uvuvi nchini bila kibali, walikamatwa na meli yao hivi karibuni katika bahari ya hindi wakiwa wamevuka mipaka na kufanya uvuvi nchini.
0 comments:
Post a Comment