Lynda Chalker amtembelea Waziri Ngeleja!!

Waziri wa Nishati na Madini William Ngeleja (kulia) akizungumza na Waziri wa zamani wa Maendeleo ya Nje nchini Uingereza, Lynda Chalker (katikati) wakati alipomtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo. Picha na Veronika Simba - WNM.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment