Waziri wa Fedha na Uchumi Mustafa Mkulo (kulia) akiongea na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha Duniani (IFM) anayeshughulikia Afrika Samuel Itan (katikati) na Mshauri wa Mkurugenzi huyo Ahmed Ndyeshobola (kushoto) kuhusu maandalizi ya Mkutano wa IMF na Afrika utakaohudhuriwa na Mawaziri wa Fedha na Magavana kutoka Nchi zote za Afrika utakaofanyika Nchini tarehe 10 – 11 mwezi wa tatu mwaka huu . Washiriki kutoka Zambia, Misri, Cameroon
, Senegal, IMF na wenyeji Tanzania walishiriki mkutano huo.
, Senegal, IMF na wenyeji Tanzania walishiriki mkutano huo.
0 comments:
Post a Comment