Duh. mtu mzima kutoka FULLSHANGWE sikubaki nyuma nikaamua kujimegea Pande na mimi ili nisipitwe na mambo jamani!
manake matukio kama haya hutokea mara mojamoja wadau.
Mboni kulia akapata nafasi ya kupozi mbele ya Camera ya FULLSHANGWE na mwanamuziki Eve.
Mtu mzima Zizzou Fashion kulia Godwin Gondwe mtangazaji makini wa Radio One na rafiki yake Arthur kutoka Uganda nao hawakukosa katika Party hiyo.
Jo Makini,Elihuruma Ngowi a Vodacom, Adam Mchomvu wa Radio Clouds nao wakapozi mbele ya Camera yetu.
0 comments:
Post a Comment