Yote kwa yote Fullshangwe inakutakia mashindano mema na mafanikio mema kwa faida ya kwako mwenyewe na watanzania wote maana kufanikiwa kwako katika mashindani hayo ya Miss Word ni sifa pia kwa nchi yetu kwani ukifanya vizuri itatajwa Tanzania na ukifanya vibaya pia itatajwa tanzania kwa maana hiyo Tanzania kwanza alafu wewe mungu ibariki Tanzania lakini umbariki Nasreem, katika picha kutoka kulia ni waziri wa mambo ya ndani Rawlence Masha Miss Tanzania Nasreem na mkurugenzi wa kituo cha uwekezaji Emanuel Ole Naiko.
NASREEM WAPE RAHA WATANZANIA!!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment