Kahanga Dekula Vumbi Kushoto akiwa na Kanku Kelly
Mwanamuziki Kahanga Dekula Vumbi anayefanya shughuli zake za kimuziki jijini Storkhom Sweeden katika klabu ya kimataifa ya Fashing Jazz Club amerejea Tanzania na kusema amekuja kuwashika mashabiki wake wote popote walipo Tanzania.
Ameongeza kuwa Fashing Jazz Club ni ya kimataifa kwani inakutanisha wanamuziki kutoka pande tofauti za dunia na mabara karibu yote, ambapo wanamuziki kutoka Amerika kusini, Marekani, Ulaya, Asia na Afrika kwa ujumla wameshawahi kufanya maonyesha katika club hiyo.
Vumbi amesema amekuja kuzindua Albam yake inayoitwa Rumaliza Yaani (kitu cha mwisho Baabkubwa) , amesema hayo alipokutana uso kwa uso na Mdau wa Fullshangwe John Bukuku katika viwanja vya Readers jijini ambapo, aliongeza kwamba anatarajia kufanya onyesho moja na wanamuziki wenzake wa zamani.
Amewataja wanamuziki hao ambao alishawahi kupiga nao muziki katika bendi tofauti Enzi hizo kuwa ni mafumu Bilal, Kanku Kelly,King Mallu, Shimanga Asosa, Issa Nundu na wengine wengi
Amesema Albam yake itazinduliwa katika ukumbi wa Police Officers Mesi Orstybay jijini na baada ya uzinduzi huo Vumbi Amesema atarejea Sweeden kuendelea na shughuli zake za muziki.

0 comments:
Post a Comment