RAIS JAKAYA KIKWETE AKUTANA NA DR. ASHA ROSE MIGIRO IKULU!!
Posted by
ADMIN
0
comments
Thursday, July 29, 2010
Uapisho wa Manaibu Katibu Wakuu leo -Ikulu
Posted by
ADMIN
Naibu Katibu Mkuu katika Wizara ya Miundombinu (kulia) Balozi Hebert Mrango akipongezwa na Rais Kikwete babada ya kumuapisha leo IWASHINDI WA UWT SINGIDA..!!!
Posted by
ADMIN
TBL YAIPA TASWA FC MILIONI 4 KWA AJILI YA BONANZA MKOANI ARUSHA!
Posted by
ADMIN
Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) imetoa sh. 4, 875,000 kwa timu ya soka ya Waandishi wa Habari za Michezo Nchini (TASWA FC) kwa ajili ya kushiriki katika bonanza la waandishi wa habari wa Mkoa wa Arusha.
Fedha hizo zilikabidhiwa kwa Mwenyekiti wa TASWA FC, Majuto Omary katika hafla fupi iliyofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa TBL.
Alisema kuwa fedha hizo ni kwa ajili ya usafiri wa kwenda na kurudi, chakula na posho kwa wachezaji na viongozi wa timu hiyo kwa siku zote watakazo kuwa Arusha.
Akizungumza mara baada ya makabidhiano hayo, Meneja Uhusiano wa TBL, Edith Mushi alisema kuwa msaada huo ni moja ya kazi za TBL katika kusaidia jamii na safari hii wameamua kufanya hivyo kwa waandishi wa habari.
Mushi alisema kuwa mbali ya msaada kwa jamii, lengo la TBL pia ni kudumisha ushirikiano wa karibu kwa waandishi wa habari ambao wamechangia kwa kiasi kikubwa maendeleo ya michezo na katika sekta nyingine hapa nchini.
Alisema kuwa wanaamini kuwa mchango huo utaleta mafanikio kwa timu hiyo na kuweza kutetea vyema taji lake.
“TBL inatambua na kuthamini mchango wenu katika maendeleo ya sekta mbali mbali ikiwa pamoja na michezo, tunayo furaha kubwa kuona leo hii mmekuwa mfano wa kuonyesha kwa vitendo mchezo wa soka, tunawatakia kila la kheri katika mashindano hayo na katika kazi ya kuelimisha na kukosa jamii,” alisema Mushi.
Mwenyekiti wa TASWA FC, Majuto Omary alishukuru TBL kwa msaada huo mkubwa ambao umeipa nafasi timu yake kutetea ubingwa wake ipasavyo.
Majuto alisema kuwa TBL imeonyesha mfano wa kuigwa kwa jamii kwani imekuwa mstari wa mbele katika kusaidia masuala mbali mbali ya jamii hapa nchini.
“Hii ni faraja kuwa kwa TASWA FC kwa kuwa na kampuni yenye kujali waandishi kama TBL, tunaahidi kufanya vyema katika mashindano hayo na kuibuka na ushindi,” alisema Majuto.
Alisema kuwa Tanzania kuna makampuni mengi sana, lakini kutokana na kutojua umuhimu wa waandishi wa habari, wameshindwa kuchangia punde waombwapo misaada, na mara nyingi wakitoa majibu ya barua ya maombi kwa njia ya simu siku tatu kabla ya safari ya kuwa ``ombi lenu halikufanikiwa’’.
“Kwa kweli tumepata usumbufu mkubwa sana, kwani tulikuna vichwa ili kujua nini kifanyike ili kuikomboa timu na kufanikisha safari yetu,” alisema Majuto.
Fedha hizo zilikabidhiwa kwa Mwenyekiti wa TASWA FC, Majuto Omary katika hafla fupi iliyofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa TBL.
Alisema kuwa fedha hizo ni kwa ajili ya usafiri wa kwenda na kurudi, chakula na posho kwa wachezaji na viongozi wa timu hiyo kwa siku zote watakazo kuwa Arusha.
Akizungumza mara baada ya makabidhiano hayo, Meneja Uhusiano wa TBL, Edith Mushi alisema kuwa msaada huo ni moja ya kazi za TBL katika kusaidia jamii na safari hii wameamua kufanya hivyo kwa waandishi wa habari.
Mushi alisema kuwa mbali ya msaada kwa jamii, lengo la TBL pia ni kudumisha ushirikiano wa karibu kwa waandishi wa habari ambao wamechangia kwa kiasi kikubwa maendeleo ya michezo na katika sekta nyingine hapa nchini.
Alisema kuwa wanaamini kuwa mchango huo utaleta mafanikio kwa timu hiyo na kuweza kutetea vyema taji lake.
“TBL inatambua na kuthamini mchango wenu katika maendeleo ya sekta mbali mbali ikiwa pamoja na michezo, tunayo furaha kubwa kuona leo hii mmekuwa mfano wa kuonyesha kwa vitendo mchezo wa soka, tunawatakia kila la kheri katika mashindano hayo na katika kazi ya kuelimisha na kukosa jamii,” alisema Mushi.
Mwenyekiti wa TASWA FC, Majuto Omary alishukuru TBL kwa msaada huo mkubwa ambao umeipa nafasi timu yake kutetea ubingwa wake ipasavyo.
Majuto alisema kuwa TBL imeonyesha mfano wa kuigwa kwa jamii kwani imekuwa mstari wa mbele katika kusaidia masuala mbali mbali ya jamii hapa nchini.
“Hii ni faraja kuwa kwa TASWA FC kwa kuwa na kampuni yenye kujali waandishi kama TBL, tunaahidi kufanya vyema katika mashindano hayo na kuibuka na ushindi,” alisema Majuto.
Alisema kuwa Tanzania kuna makampuni mengi sana, lakini kutokana na kutojua umuhimu wa waandishi wa habari, wameshindwa kuchangia punde waombwapo misaada, na mara nyingi wakitoa majibu ya barua ya maombi kwa njia ya simu siku tatu kabla ya safari ya kuwa ``ombi lenu halikufanikiwa’’.
“Kwa kweli tumepata usumbufu mkubwa sana, kwani tulikuna vichwa ili kujua nini kifanyike ili kuikomboa timu na kufanikisha safari yetu,” alisema Majuto.
UWT MKOA WA DAR ES SALAAM WAPATA WAWAKILISHI WAO!!
Posted by
ADMIN
Katika uchaguzi huo wajumbe wa UWT waliwachagua wawakilishi wa makundi mbalimbali kwa ajili ya VITI MAALUUM, Mwenyekiti wa UWT Mkaoni Dar es salaam Zarina Shamte Madabida alikuwa mshindi wa kwanza. na kufuatiwa na Ritah Mlaki, Mkutano huo ulifunguliwa rasmi na Mlezi wa Chama mkoa wa DSM Abdulrahman Kinana, na kuhudhuriwa na MWenyekiti wa UWT Taifa Sophia Simba. picha zote na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO
Mgeni rasmi Mlezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa Dar es salaam akiteta jambo na Mwenyekiti wa UWT Taifa Sophia Simba
2
comments
Wednesday, July 28, 2010
TURKEY HAS ASSURED TANZANIA TOURIST BOARD FULL SUPORT IN MARKETING AND PROMOTING TOURISM DESTINATION!!
Posted by
ADMIN
The Ambassador of Turkey in Tanzania His Excellence Sander Gurbuz has assured Tanzania Tourist Board of the full support Turkish Government in Marketing and Promoting destination Tanzania in Turkey so as to increase awareness of Tanzania’s unique tourist attritions to the people of Turkey. The ambassador disclosed that his office will undertake special assignments to attract investments by approaching and convincing Turkish investors to invest in the tourism industry.
His Excellence Gurbuz made this statement recently at Headquarters of the Tanzania Tourist Board (TTB) located in IPS building when he paid a visit and hold discussions with the TTB’s Managing Director Dr Aloyce Nzuki , Director of Marketing Mr. Amant Macha and other senior officials of the Board in which he promised to work closely with TTB so that to increase the number of visitors from Turkey visiting Tanzania annually.
Translation of some promotional materials in Turkish language and DVDs as one area of support to offer. He appealed to TTB to undertake aggressive marketing campaign in Turkey using various techniques such as advertising in Turkish travel trade magazines, TV travel programs, billboards in different cities etc. He said that Turkey is a very potential market for Tanzania as it is ranked number seven among the most visited countries in the world.
The ambassador discloses his happiness on the beginning of direct flights of Turkish Airline from Istanbul, Turkey to Dar es Salaam Tanzania which has been operational since 14 June, 2010. He believes this will play a vital role in linking the two countries and gear up the development of tourism sector in Tanzania.
He pointed out that having the operation of Turkish Airline in place was one of the assignments and he now feels very proud of to fulfill this mission. “My first assignment was to ensure that the Turkish Airlins flies to Tanzania, now I have one crucial task remaining ahead which is to convince investors from Turkey to come and invest in Tanzania particularly in Tourism sector”. He said.
He mentioned Tanzania as a unique destination since it has everything that can attract tourists, and predicted that about 15,000 tourists from Turkey will visit Tanzania by the end of this season. “Tanzania is a country of diversity in terms of tourism, it has everything that a tourist would like to see and enjoy. You have spectacular and unique attractions such as Kilimanjaro the highest Mountain in Africa, various wildlife, Ngorongoro Crater, Serengeti National Park which is the site of Animal Migration to mention but few. He said that out of 70 Million population of Turkey, 7 million which is 10% travel abroad every year as tourists.
On his side The Managing Director of Tanzania Tourist Board Dr. Aloyce Nzuki said that TTB has been very much impressed by the commitment staged by the Government of Turkey through the Turkish ambassador in Tanzania in supporting the TTB efforts of penetrating the Turkish Market including introduction of direct flights of Turkish airline to Tanzania. “Indeed It gives us a lot of courage and we have all the reasons to intensify marketing campaign in Turkey” Commented Dr Nzuki. He added that with the introduction of the direct flights from Istanbul Turkey to Dar – es-salaam Tanzania TTB believes that the number of visitors from Turkey will constantly increase.
According to the available statistics, Tanzania receives an average of 618 tourists from Turkey.
Wyclef afikiria kugombea urais Haiti
Posted by
ADMIN
Familia ya mwanamuziki aliyezaliwa Haiti imesema Wyclef Jean anafikiria kugombea urais nchini humo.
Lakini nyota huyo wa kundi la Fugees, ambaye aliteuliwa kama balozi wa nchi hiyo mwaka 2006, hajaamua bado kama agombee nafasi hiyo ya miaka mitano.
Haiti ilikumbwa na tetemeko kubwa la ardhi mwezi Januari iliyosababisha vifo vya zaidi ya watu 250,000.
Taarifa kutoka familia yake ilisema Wyclef "anajali" sana maslahi ya kwao.
Taarifa hiyo ilitolewa baada ya kuwepo uvumi huko Haiti kuwa Wyclef anajiandaa kugombea nafasi hiyo katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika mwezi Novemba.
Wagombea wana nafasi ya kujiandikisha mpaka ifikapo Agosti 7.
Ilisema: " Namna Wyclef anavyojali maslahi ya kwao hauna mipaka kabisa na ataendelea kuisaidia nchi yake bila kujali kama yeye ni sehemu ya serikali.
"Kwa wakati huu, Wyclef Jean hajatangaza nia yake ya kugombea Urais Haiti. Iwapo, na wakati, uamuzi utakapochukuliwa, vyombo vya habari vitapewa taarifa haraka iwezekanavyo."
Rais aliye madarakani kwa sasa Rene Preval anazuiwa na katiba kugombea nafasi hiyo kwa mara nyingine.
Wyclef, anayeishi New York, ni mwanzilishi wa wakfu wa kusaidia binadamu ya Yele Haiti, na amechangia kwa kiasi kikubwa katika kutoa misaada tangu kutokea kwa tetemeko hilo la ardhi.
Mwanamuziki huyo na mzalishaji wa muziki, anayejulikana zaidi sasa kwa kushirikiana na mwanamuziki nyota wa miondoko ya Pop kutoka Colombia Shakira, anajulikana sana Haiti ambapo nusu ya watu wote nchini humo wana umri wa miaka 21. Habari kwa hisani ya www.bbcswahili.com
M-Net's Big Brother ALL STARS: Images from day 7 (Sunday July 25, 2010)
Posted by
ADMIN
It’s day 7 on M-Net’s BIG BROTHER ALL stars ---Kaone and Tatiana are evicted from the Big Brother house, then sent back in an exciting twist to the game!Plus Nigerian star Maye Hunta debuts the new Big Brother All Stars song, African Star and Big Brother reveals a mysterious new space called ‘The Barn’… BIG BROTHER ALL STARS runs for 91 days with 24/7 coverage on DStv channel 198 plus daily edited shows on M-Net and AfricaMagic. For more information on the series, log on to www.mnetafrica.com/bigbrother. Watuhumiwa wa Mauaji ya Profesa Mwaikusa Wamefikishwa Kizimbani jana!
Posted by
ADMIN
Watuhumiwa wa mauaji ya aliyrekuwa Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Profesa Jwani Mwaikusa wakiiingizwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam jana Kusomewa Mashtaka yao.(Picha na Yusuf Badi wa Habari Leo).--
Aidha, watu hao, Joseph Machoche na Jackson Wambura pamoja na wenzao wawili, walisomewa kesi nyingine 10 kwa mahakimu tofauti katika mahakama hiyo; tatu kati ya hizo ni za mauaji pamoja na wizi wa kutumia silaha.
Washitakiwa wengine ni Hassan Wangi na Charles Hembele.
Machoche na Wambura walidaiwa mbele ya Hakimu Mkazi Gabriel Mirumbe na Wakili wa Serikali Anne Malipula, kuwa Julai 13, mwaka huu saa 4.40 usiku walimuua Mwaikusa.
Siku hiyo hiyo saa 4.45 walidaiwa kumuua Daudi Mwasanjara na saa 4.50 walimuua John Mtui huko Salasala, Dar es Salaam.
Washitakiwa hawakutakiwa kujibu lolote kwa kua mahakama hiyo haina uwezo wa kusikiliza kesi ya mauaji bali mahakama kuu na kesi hiyo kupangwa kutajwa Agosti 10, mwaka huu
JESHI LA POLISI LATOA UFAFANUZI WA KIFO CHA PC SUZANA.
Posted by
ADMIN
Na. Aron Msigwa – MAELEZO.

Jeshi la Polisi nchini limesema kifo cha askari Polisi WP.7338 PC Suzana kilichotokea katika kituo cha Polisi Tarime tarehe 4/7/2010 kilitokana na tukio la askari huyo kujipiga risasi kifuani.
Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam Msemaji Msaidizi wa Jeshi la Polisi Nchini ASP Advera Senso amesema askari huyo WP .7338 PC Suzana siku ya tukio hilo aliingia kazini asubuhi na baadaye kutakiwa kuelekea kwenye lindo kwa muda kuzuia magari yasiingilie msafara wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye alikuwa na ziara wilayani Tarime siku hiyo.
Amesema siku hiyo msafara wa rais ulipofika alipokuwa PC Suzana uligawanyika gari la RPC Mara liliacha njia ya msafara na kuingia barabara ya Bomani kwenda ofisi ya DC likifuatiwa na magari mengine matatu likiwemo la Rais.
ASP Senso amefafanua kuwa eneo ulipogawanyikia msafara kuna kilima na kona kali iliyosababisha RPC Mara kupotezana na magari yaliyokuwa mbele yake na hivyo kushindwa uelekeo wa msafara. “Mara baada ya kuona amepotea RPC wa Mara alisimama alipokuwa PC Suzana na kutaka kujua kwa DC ni wapi, akawaonyesha njia ya mkato ambayo haikuwa rasmi iliyopangiwa msafara” amesema.Amefafanua kuwa ilionekana PC Suzana alielewa kuwa RPC Mara alitaka kwenda Ofisi ya DC wakati yeye alitaka kuelewa njia ulipopita msafara.
Baadaye RPC Tarime Rorya alimwagiza mkuu wa kituo Tarime apeleke askari mwingine eneo hilo na PC Suzana arudi kituoni umbari wa takribani mita 100 toka alipokuwa amepangiwa kazi.Amesema PC Suzana alipofika chumba cha mashitaka aliendelea na kazi, baadaye kwa kushirikiana na askari mwenzake PC Dora waliaadaa makabidhiano ya zamu na wakati wakiendelea kuandaa ghafla PC Suzana alichukua silaha moja kati ya mbili zilizokuwa kwenye sanduku na kuingia kwenye ofisi ya mkuu wa kituo na kufunga mlango.
Amefafanua kuwa askari wengine waliokuwa kwenye chumba cha mashtaka walipoona hivyo walikwenda kwenye mlango alipoingilia PC Suzana na kujaribu kuuvunja ndipo akapiga risasi mlangoni na risasi hiyo kutoboa mlango kitendo kilichowafanya kurudi nyuma na baada ya muda walivunja mlango na kumkuta PC Suzana akiwa amejipiga risasi kifuani.
ASP Advera amesema Jeshi la Polisi limechukua hatua za kiutawala na kuboresha mwongozo wa namna ya kusimamia misafara kwenye mikoa ya kipolisi yenye makamanda zaidi ya mmoja chini ya mkuu wa mkoa mmoja, mafunzo kazini na vyuoni kuhusu namna ya kukabilianma na msongo (stress Management). Hata hivyo amebainisha kuwa kifo cha WP Suzana ni suala linalohitaji uamuzi wa kisheria na jalada la tukio hilo limekamilishwa na kupelekwa ofisi ya wakili wa serikali kanda ya Ziwa kwa maamuzi ya kisheria.
M-Net's Big Brother ALL STARS: Images from day 7 (Sunday July 25, 2010)
Posted by
ADMIN
It’s day 7 on M-Net’s BIG BROTHER ALL stars ---Kaone and Tatiana are evicted from the Big Brother house, then sent back in an exciting twist to the game!Plus Nigerian star Maye Hunta debuts the new Big Brother All Stars song, African Star and Big Brother reveals a mysterious new space called ‘The Barn’… BIG BROTHER ALL STARS runs for 91 days with 24/7 coverage on DStv channel 198 plus daily edited shows on M-Net and AfricaMagic. For more information on the series, log on to www.mnetafrica.com/bigbrother.Vodacom yazindua vocha ya shilingi 300.
Posted by
ADMIN
Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania leo imezindua vocha ya bei nafuu zaidi hapa nchini Jiti Tatu itakayouzwa kwa shilingi 300.
Wateja wa Vodacom wanaotumia huduma za simu za mtandao huo watanufaika na huduma hii ambayo itawawezesha kuongea kwa kiwango hicho cha fedha.
Akizungumza na Waandishi wa habari, Meneja Huduma na Bidhaa wa Vodacom Tanzania Elihuruma Ngowi alisema kwamba huduma ni muhimu kwa Watanzania wengi kwani itawawezesha kuwasiliana kwa bei nafuu zaidi.
“Tutaendelea kuwaletea kuwaletea wateja wetu bora na kwa bei nafuu ili kuwawezesha kuwasiliana kwa urahisi” alisema na kuongeza kwamba Vocha hizo zitapatikana kila kona ya chini yetu.
Alibainisha kwamba uzinduzi wa vocha hizo utakwenda sanjari na zoezi litakaloendeshwa na wafanyakazi wa Vodacom la kupita maeneo mbalimbali na kuwagawia wateja wa Vodacom Vocha hizo
Aliyataja baadhi ya Tanzania watapita ni Tandika Sokoni, Kariakoo, Mbagala na vituo mbalimbali vya vya mabasi.
“Kutokana na uwekezaji wetu katika huduma hii unaokwenda sanjari na ubora wa mtandao wetu, wateja wetu wataendelea kuunganishwa na kuboreshewa huduma zatu za mawasiliano” alisema na kuongeza kwamba Vodacom itaendelea kutoa huduma zake kwa bei nafuu.
Akizungumza na Waandishi wa habari, Meneja Huduma na Bidhaa wa Vodacom Tanzania Elihuruma Ngowi alisema kwamba huduma ni muhimu kwa Watanzania wengi kwani itawawezesha kuwasiliana kwa bei nafuu zaidi.
“Tutaendelea kuwaletea kuwaletea wateja wetu bora na kwa bei nafuu ili kuwawezesha kuwasiliana kwa urahisi” alisema na kuongeza kwamba Vocha hizo zitapatikana kila kona ya chini yetu.
Alibainisha kwamba uzinduzi wa vocha hizo utakwenda sanjari na zoezi litakaloendeshwa na wafanyakazi wa Vodacom la kupita maeneo mbalimbali na kuwagawia wateja wa Vodacom Vocha hizo
Aliyataja baadhi ya Tanzania watapita ni Tandika Sokoni, Kariakoo, Mbagala na vituo mbalimbali vya vya mabasi.
“Kutokana na uwekezaji wetu katika huduma hii unaokwenda sanjari na ubora wa mtandao wetu, wateja wetu wataendelea kuunganishwa na kuboreshewa huduma zatu za mawasiliano” alisema na kuongeza kwamba Vodacom itaendelea kutoa huduma zake kwa bei nafuu.
Mkutano wa 15 wa AU waisha Rais Kikwete aagana na Rais Museveni, akutana na Asha Rose Migiro
Posted by
ADMIN
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na mwenyeji wake Rais Yoweri Museveni wa Uganda muda mfupi baada ya kumalizika mkutano wa 15 wa Wakuu wan chi za umoja wa Afrika AU uliofanyika huko Speke. (Picha na freddy Maro)
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Rais Armando Emilio Guebuza wa Msumbiji jijini Kampala jana mchana.M-Net's Big Brother ALL STARS: Images from day 7 (Sunday July 25, 2010)
Posted by
ADMIN
It’s day 7 on M-Net’s BIG BROTHER ALL stars ---Kaone and Tatiana are evicted from the Big Brother house, then sent back in an exciting twist to the game!Plus Nigerian star Maye Hunta debuts the new Big Brother All Stars song, African Star and Big Brother reveals a mysterious new space called ‘The Barn’… BIG BROTHER ALL STARS runs for 91 days with 24/7 coverage on DStv channel 198 plus daily edited shows on M-Net and AfricaMagic. For more information on the series, log on to www.mnetafrica.com/bigbrother. Pictured here: Jen
0
comments
Tuesday, July 27, 2010
M-Net's Big Brother ALL STARS: Images from day 7 (Sunday July 25, 2010) - EMAIL 20!!
Posted by
ADMIN
It’s day 7 on M-Net’s BIG BROTHER ALL stars ---Kaone and Tatiana are evicted from the Big Brother house, then sent back in an exciting twist to the game!Plus Nigerian star Maye Hunta debuts the new Big Brother All Stars song, African Star and Big Brother reveals a mysterious new space called ‘The Barn’… BIG BROTHER ALL STARS runs for 91 days with 24/7 coverage on DStv channel 198 plus daily edited shows on M-Net and AfricaMagic. For more information on the series, log on to www.mnetafrica.com/bigbrother. Pictured here: PalomaBig Brother All Stars (Day 8 – 26 July, 2010): SAMMI, UTI & HANNINGTON UP FOR EVICTION THIS WEEK
Posted by
ADMIN
M-Net’s Big Brother All Stars is into its second week and, in stark contrast to last week, the housemates were very clear about who they wanted to see up for eviction this time around.
After Sunday’s dramatic first eviction show which saw Big Brother send Tatiana and Kaone back into the house after telling them they had been evicted, the housemates aren’t sure what they should expect – but that’s the way the game is played, after all! Once all the nominations were in, it was Sammi, Uti and Tatiana who found themselves up for eviction.
Tatiana, as head of house, had the opportunity to swap herself out with another housemate – which she promptly did, putting Hannington up in her place.
Munya nominated Uti and Sammi – but had thoroughly bizarre reasons! He said that he nominated Sammi because “he lives very far from Zimbabwe where I'm from." Big Brother asked him to clarify his reason, but he stuck to his guns.
Big Brother then questioned his reason for nominating Uti, but Munya gave the same reason and left the Diary Room quickly. Jennifer’s nominations were along the lines of breaking up the clique who she feels will nominate her for eviction sooner rather than later.
She told Big Brother that she had noticed that “the gang” from season 2 - namely Meryl and Lerato - were still very close, a fact which made her uneasy. Jennifer declared that that was the reason behind her nomination for the two ladies – saying she had nothing personal against them and conceding that her decision was based on playing the game.
Hannington and Yacob both nominated Tatiana, because as Head of House, she has the power to save herself from eviction.
Subscribe to:
Posts (Atom)







