Katika uchaguzi huo wajumbe wa UWT waliwachagua wawakilishi wa makundi mbalimbali kwa ajili ya VITI MAALUUM, Mwenyekiti wa UWT Mkaoni Dar es salaam Zarina Shamte Madabida alikuwa mshindi wa kwanza. na kufuatiwa na Ritah Mlaki, Mkutano huo ulifunguliwa rasmi na Mlezi wa Chama mkoa wa DSM Abdulrahman Kinana, na kuhudhuriwa na MWenyekiti wa UWT Taifa Sophia Simba. picha zote na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO
Mgeni rasmi Mlezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa Dar es salaam akiteta jambo na Mwenyekiti wa UWT Taifa Sophia Simba
UWT MKOA WA DAR ES SALAAM WAPATA WAWAKILISHI WAO!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
2 comments:
:)))))))))
Inabidi ifike wakati wanaogombea wawe kweli wana uwezo wa kugombea, na wasiwe wanakimbilia madaraka kwa sababu ya kupata fursa ya kuwapatia kipato kikubwa zaidi.MIMI Inanisikitisha sana.Tunaongozwa na watu wasio na uwezo!!
Post a Comment