WANAWAKE WANAWEZA SANA TUKIWAPA MOYO!!

Tofauti na mtazamo wa watu wengi kuwa kazi ngumu kama hii ya kuendesha mtambo mkubwa (Katapila) ni maalumu kwa wanaume, Magreth, dereva wa mashine hiyo anatofautiana nao kwa vitendo. Hapa anaonekana akiendesha mtambo huo eneo la pasua, mjini Moshi, mahali ulipo mradi wa kiwanda kipya cha bia cha Serengeti.Magreth ni mfanyakazi wa kampuni ya ukandarasi ya Nandhra.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment