Tatizo la barabara mbovu si la Tanzania pekee bali ni karibu kwa nchi zote zinazoendelea. Daraja la Gitamayu lililopo katika barabara itokayo Naivasha mjini katika mkoa wa bonde la ufa nchini Kenya kuelekea tarafa ya Maiella lilivunjika tangu mwaka 1997 wakati wa mvua za Elinino na halijaweza kujengwa hadi leo. Wakazi wa tarafa hiyo wameiomba serikali ya nchi yao iwasaidie kujenga daraja hilo kwani wakati wa mvua maji yamekuwa yakijaa na kuzuia magari kushindwa kupita.
(Picha na Anna Nkinda)
Tatizo la barabara mbaya hata nchini Kenya lipo!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment