Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Ladislaus Shitindi (kushoto) akionyesha kwa waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam tuzo ya ushindi wa pili waliopatiwa Mpango wa Kurasimisha Raslimali na Biashara za Wanyonge Tanzania(MKURABITA) kwa utoaji wa huduma bora kwa jamii barani Afrika . Katikati ni Mratibu wa Mpango wa Kurasimisha Raslimali na Biashara za Wanyonge Tanzania(MKURABITA) Engineer Ladislaus Salema na kulia ni Mkurugenzi wa Uendeshaji wa MKURABITA Stephen Rusibamayila.
(Picha na Tiganya Vincent-MAELEZO-Dar es salaam)
0 comments:
Post a Comment