Wakiwa na nyuso zafuraha : Bwana harusi Jacob Karugaba na Mkewe Janeth Kasaba wakiwa katika pozi la picha baada ya kufunga ndoa yao katika kanisa Katoliki la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,na baadaye kufuatiwa na sherehe kubwa iliyofanyika katika ukumbi wa Five Star uliopo Mbezi jijini Dar es Salaam.
Wasanii wa Ngoma za asili wa kundi la Tuyambe la Manzese Dar es Salaam , Helena Zakaria( kulia) na Ceneth Baretwa wakiwapagawisha maharusi Jacob na Janeth kwa kuwapigia wimbo wa katerelo ambao ni maarufu sana kwa watu wa huko Bukoba Kagera, katika sherehe iliyofanyika June 26 katika ukumbi wa Five Star Mbezi jijini Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment