MWANAHABARI AMINA SALEH MOLLEL AMBAYE AMEJITOSA KUWANIA UBUNGE VITI MAALUM ,UPANDE WA WATU WENYE ULEMAVU AKIREJESHA FOMU HIZO HIVI KARIBUNI, WAANDISHI WA HABARI WENGI WAMEPANIA KUINGIA BUNGENI PENGINE WA MEGUNDUA KUWA KALAMU YAO BADO HAITOSHI KUKEMEA MABAYA NA KUELIMISHA HIVYO WAMEAMUA KWENDA KUSIMAMIA UTUNGAJI WA SHERIA NA USIMAMIZI WA SERA MBALIMBALI ZINAZOTOLEWA NA SERIKALI.
AMINA SALEH MOLLEL NAYE AINGIA KUWANIA UBUNGE VITI MAALUM!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment