Tanzania (TBL), Lillian Erasmus (kulia) ambaye alikabidhi msaada wa vifaa vya kufanyia usafi vyenye thamani ya sh.
milioni 2 kwa manispaa hiyo.Hfla hiyo ilifanyika wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani eneo la Msimbazi
Bondeni, Kata ya Mchikichini, Dar es Salaam jana. Wafanyakazi wa TBL waliungana na wakazi wa eneo hilo kufanya usafi
wa mazingira. Katikati ni Renatus Nyanda ambaye ni Meneja Huduma wa kampuni hiyo.
mazingira yanayozunguka kiwanda chao, Jijini Dar es Salaam jana, ikiwa ni moja ya shamrashamra za maadhimisho ya
Siku ya Mazingira Duniani.mtaro wa maji yatokayo kiwandani.
Dar es Salaam, kufanya usafi katika eneo hilo ikiwa ni moja ya shamrashamra ya kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani
jana.
0 comments:
Post a Comment