MUSTAFA MKULO ATINGA MJENGONI KUWASILISHA BAJETI JIONI HII!!

Waziri wa Fedha na Uchumi, Mustafa Mkulo akisoma Bajeti ya Serikali ya Mwaka e Bajeti ya Serikali ya mwaka 2010/11 kwenye ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma Juni 9, 2010.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri wa Fedha na Uchumi Mustafa Mkulo akifungua Bajeti ya Serikali ya 2010/11 kabla ya kuisoma Bungeni Mjini Dodoma Juni 9, 2010. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri wa Fedha na uchumi Mustafa mkulo akiwali mjengoni na mkoba wenye nyaraka zenye makadirio ya bajeti ya mwaka 2010/2011 mjini Dodoma leo wadau kaeni mkao wa kula huku mkisikiliza bajeti hiyo kupitia luninga na redio.

(Picha na mwanakombo jumaa -maelezo)

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment