Benki ya Dunia yaipa Tanzania mkopo wa kiasi cha shilingi milioni 816,200.

Katibu Mkuu Wizara ya fedha na Uchumi Bw. Ramadhani Kijjah akitoa ufafanuzi kuhusu mkopo uliotolewa na Benki ya Dunia.
kushoto ni Mkurugenzi Mkazi wa benki ya dunia nchini Tanznia, Uganda na Burundi Bw. John Murray wametiliana saini mkopo wa kiasi cha shilingi milioni 816,200.
(Picha na Ingiahedi mduma Msemaji Wizara ya Uchumi na Fedha)

Ramadhani Kijjah na Bw. John Murray wakibadilishana mkataba waliosainiana muda mfupi uliopita.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment