Mnyange wa Miss Pangani 2010 Aziza Khalifa akiwa katika uso wa furaha mara baada ya kutangazwa mshindi wa wilaya hiyo. Mshindi wa pili alikuwa Asha Athumani huku nafasi ya tatu ikichukuliwa na Stella William. Wilaya ya Pangani imeweka historia baada ya kutoa Miss wa kwanza kwa mwaka huu wa 2010.Picha na Mohamed Hammie Rajab wa http://www.ankomo.blogspot.com/
AZIZA KHALFAN ABEBA TAJI LA MISS PANGANI!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment