WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AKUTANA NA TSIVANGIRAI

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri Mkuu wa Zimbabwe, Morgan Tsivangirai, Ofisini kwake jijini Dar es salaam May 5, 2010. Tsavangirai yuko nchini kuhudhuria mkutano wa Uchumi.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na Waziri Mkuu wa Zimbabwe, Morgan Tsivangirai baada ya mazungumzo yao, Ofisi ni kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment