WATAKIWA KUCHANGIA MAENDELEO YA RUZINGA!!

Mwenyekiti wa Ruzinga Day Bw. Antimus Rwebangira akizungumza na wanahabari kwenye ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo jijini Dar es salaam wakati wkati akitolea ufafanuzi wa masuala mbalimbali katika kuchangia maendeleo ya kata ya Ruzinga mkoani Kagera katika kujenga Shule, Zahanati Miundombinu kama vile barabara na masuala ya maji.
amewataka wakazi wa Mkoa wa Kagera wanaotoka kata ya Ruzinga kote nchini kuchangia mfuko wa maendeleo wa Ruzinga Day ambapo amesema wtawabana wale ambao hawatakuwa tayari kuchangia katika maendeleo ikiwa ni pamoja na kususia shughuli zao mbalimbali kama vile harusi na misiba, lakini pia akasema watatoa misamaha kwa wale ambao hawajiwezi kutokana na matatizo ya Uzee na Ugonjwa kulia katika picha ni mwanakamati wa Ruzinga Mrs. Feliciana Byanyuma.
PICHA NA MWANAKOMBO JUMAA WA MAELEZO.
Kikundi cha Ruzinga kikitumbuiza ngoma za Lubuli kutoka kabila la Wahaya katika mkutano na waandishi wa habari leo.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment