Traince Asyla Attorneys charities walamba milioni 1.8 za Vodacom baada ya mbuzi wao kushinda!!

Vijana wakiwa na mbuzi waliokuwa wakiwafundisha wa Ultimate Security katika kushiriki kwenye mbio za mbuzi zilizofanyika leo barabara ya Kenyata oysterbay jijini Dares Salaam kwa lengo la kuchangisha fedha na kuwasaidia watoto yatima na wasiojiweza,Ultimate Security walitoa Hundi yenye thamani ya Tsh 1,200,000.
Vijana wakiwa nyuma ya mbuzi wa Vodacom Tanzania katika mbio za mbuzi zilizofanyika leo barabara ya Kenyata oysterbay jijini Dares Salaam kwa lengo la kuchangisha fedha na kuwasaidia watoto yatima na wasiojiweza,
Baadhi ya wapenzi wa mbio za mbuzi wakikimbia kwenda kuangalia mbio hizo

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment