Msanii wa kikundi cha sanaa kutoka Mueda nchini Msumbiji wakicheza na kuonyesha sanamu ya Daraja la Umoja iliyotengenezwa na mmoja wa wasanii wa kundi hilo na kuonyesha wakati lilipokuwa likitumbuiza katika uzinduzi wa daraja hilo lenye urefu wa meta 720 na upana wa meta 13.5 ndilo linalounganishakatika eneo la Mtambaswara wilaya ya Nanyumbu, mkoa wa Mtwara Tanzania na Negomano upande wa Msumbiji.
Pata ujumbe kupitia ngoma za utamaduni!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment