MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA MKUTANO WA ADB MJINI ABDJAN!!

Viongozi mbalimbali wa dini nchini Ivory Coast na waalikwa wengine wakisikiliza hotuba ya ufungizi wa mkutano wa 45 wa ADB jana mjini Abidjan iliyokuwa ikitolewa na Rias wa Nchi hiyo Laurent Gbagbo
ngoma ni Kikundi cha ngoma ya Temate kutoka Magharibi mwa nchi ya Ivory Coast kikitumbuiza wakati wa sherehe za ufunguaji wa mkutano wa 45 wa Benki ya Maendeleo ya Afrika(ADB) mjini Abidjan jana

Mke wa Rais wa Ivory Coast mama Simeone Gbagbo akifurahia jambo wakati wa ufunguzi wa mkutano wa 45 wa ADB jana mjini Abidjan
Picha Tiganya Vincent_ Abidjan



You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment