Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ali Shein azindua chapisho la (UN-HABITAT)

Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ali Sheni akionyesha chapisho la Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo ya Makazi(UN-Habitant) linaloonyesha hali halisi ya jiji la Dar es salam jana wakati wa ufunguzi wa mkutano wenye lengo la kujadili mikakati mbalimbali ya kuboresha jiji hilo.

Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ali Sheni akifungua wa mkutano wa siku moja jana jijini Dar es salaam katika Ukumbi wa Karimjee wenye lengo la kujadili mikakati mbalimbali ya uimarishaji na uendelezaji wa wa Jiji la Dar es salaam jiji hilo.

PICHA ZOTE NA TIGANYA VINCENT-MAELEZO

Baadhi ya washiriki wa mkutano wa siku moja unaozungumzia uimarishaji na uendelezaji wa wa Jiji la Dar es salaam wakimsikiliza jana jijini humo Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ali Sheni wakati wa ufunguzi wa mkutano huo.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment