JAKAYA ALIPOPOKEA FARU KUTOKA AFRIKA KUSINI!!

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ameshikilia SANAMU ya Faru wakati wa sherehe za kuwapokea Faru Watano kati ya 32 kutoka Afrika ya Kusini.Sherehe za kuwapokea Faru hao walioko katika Kontena katika gari nyuma ya Rais zilifanyika katika uwaanja wa ndege wa Seronera katika mbuga ya wanyama Serengeti jana jioni .Kulia ni Waziri wa mazignira wa Afrika ya kusini Buyelwa Sonjica aliyekabidhi Faru hao kwa niaba ya Serkali ya Afrika ya Kusini.Kushoto ni Waziri wa Utalii na maliasili Shamsa Mwangunga(Picha na Freddy maro)

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment