FFU ! Kupelekana puta na washabiki wa Afrika Festival!!
Gwaride la Ngoma Africa band litavamia Afrika Festival huko Tübingen,Ujerumani
Bendi hiyo maaru ya muziki wa dansi barani Ulaya "The Ngoma Africa Band" aka FFU!wanatarajiwa kutumbuiza katika onesho la "Afrika Festival" Tübingen City, ujerumani
siku ya jumamosi ya 5-06-2010 katika eneo la Festplatz Europa str.bendi hiyo yenye kawaida ya kuwadatisha washabiki wake
kwa kutumia midundo yao,watapanda jukwaani majira ya saa 11 jioni na kutumbuiza hadi asubuhi.

hivi sasa kundi hilo linatamba na singo CD yao ya "Jakaya Kikwete 2010"
wadau wa Tübingen City na miji jirani wametakiwa kukaa mkao wa kula na ili kupata mambo zidi kuhusu bendi hiyo hebu
wasikilize hapa www.myspace.com/thengomaafrica
unaweza kujumuika nao pia www.facebook.com/ngomaafrica

0 comments:
Post a Comment