
Mgeni rasmi Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii JInsia na Watoto Mariam Mwafisi akiongoza Joging ya Bonanza la uzinduzi ya mashindano ya SHIMIWI yatakayofanyika mkoani Tanga kuanzia Septemba 17 mpaka Octoba 2, 2010
Picha zote na Ofisa Habari wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania (LRCT)

Hapa kikagua kilimo

Mgeni rasmi akikagua timu ya Uhamiaji

TUMESHERIA Sports club wakiwa katika picha ya pamoja

Mdau Munir Shemweta Ofisa Habari wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania aliyevaa fulana nyekundu akiwa na watumishi wenzake wa Tume katika Bonanza

Kaimu Mkuu wa Utawala wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Zakariya Kerra katikati akiwa na watendaji wakuu wa RAS Pwani
0 comments:
Post a Comment