Ally Rehmtullah akiwa katika picha ya pamoja na Irene pamoja na Nancy Sumari wakati wa onesho la mavazi lililoandaliwa na mbunifu huyo wa mavazi na kufanyika katika shule ya kimataifa ya IST iliyoko Masaki jijini Dar es salaam onesho hilo lililojulikana kama Fashion for Education IST lilifanyika kwa lengo la kuchangia elimu katika kuwasaidia watoto wenye matatizo mbalimbali yanayowafanya wasipate elimu ya kutosha kama vile vitabu, madawati majengo ya kusomea na mengineyo.
ALLY REHMTULLAH FASHION FOR EDUCATION (IST) ILIVYOFANA!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment