(Picha zote kwa hasani ya blogu ya www.mjengwa.blogspot.com )
Ali Choki akiongoza kikosi kizima cha Extra Bongo wana wa kujinafasi, watoto wa mjini katika kulisakata Sebene lao jipya wakati wa kutambulisha bendi hiyo kwa mashabiki waliohudhuria katika onesho hilo..
Hawa sio Wacheza Shoo, ni wanachama wa Extra Bongo wana wa Kujinafasi, na hivi ndivyo walivyoshaini jana usiku ndani ya Msasani Club.
ALI CHOKI AJA NA MPYA YA IGWEEE MSASANI CLUB!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment