ZANTEL YAWAMWAGIA WATEJA WAKE ZAWADI LUKUKI!!

MENEJA MAUZO WA ZANTEL MKOA WA TANGA Ndg. NASSORO MBILIKIRA AKIMPONGEZA MSHIDI WA PROMOSHENI YA CHOMOKA NA VYOMMBO BI. SHAHA SAID TOKA SAHARE TANGA ALIYEJISHINDIA JOKOFU NA TV. ZANTEL INAENDESHA PROMOSHENI KABAMBE KWA WAKAZI WA TANGA TU, ILI KUSHIRIKI TUMA NENO VYOMBO KWENDA 15583 NA UJISHINDIE ZAWADI KIBAO.

MENEJA MAUZO WA ZANTEL MKOA WA MWANZA Bw.KENNEDY NDONONDO AKIMKABIDHI MSHIDI WA PROMOSHENI YA CHOMOKA NA PIKPIKI Bw.FRED KISSAKA TOKA MWANZA ALIYEJISHINDIA PIPIKI. ZANTEL INAENDESHA PROMOSHENI KABAMBE KWA WAKAZI WA MWANZA NA MARA TU, ILI KUSHIRIKI TUMA NENO PIKIPIKI KWENDA 15583 NA UJISHINDIE ZAWADI KIBAO.

MENEJA MAUZO WA ZANTEL MKOA WA ARUSHA Bw.HAIDAR CHAMSHAMA AKIMKABIDHI MSHIDI WA PROMOSHENI YA CHOMOKA NA MKWANJA Bw. ELIGAH LAIZER TOKA ARUSHA ALIYEJISHINDIA FEDHA TASLIMU SHILINGI MILIONI MOJA. ZANTEL INAENDESHA PROMOSHENI KABAMBE KWA WAKAZI WA KILIMANJARO NA ARUSHA TU ILI KUSHIRIKI TUMA NENO MKWANJA KWENDA 15583 NA UJISHINDIE ZAWADI KIBAO.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment