Majadiliano baada ya kazi ngumu!!

Waziri wa Fedha na Uchumi Mhe. Mustafa Mkulo, KatibuMkuu Bw. Ramadhani Khijjah na Gavana wa Benki kuu Prof Beno Nduru pamoja na wadau wengine wakiwa katika mkutano katika moja ya shughuli za kuiwakilisha Tanzania kimatifa huko Washington DC nchini Marekani hivi karibuni.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment