Maafisa Tume ya kurekebisha wapigwa msasa!!

Katibu Mkuu wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania (LRCT) Japhet Sagasii akimtunuku Cheti Naibu Katibu Mtendaji (Utafiti) wa Tume hiyo Adam Mambi mara baada ya kuhitimu mafunzo ya Uongozi na Maadili kwa watumishi wa Umma, mafunzo hayo yaliyofanyika katika Hoteli ya Kilomo Bagamoyo, wengine kushoto ni Jack Meena na wa pili kushoto ni mkufunzi Sahera Sumar

Watumishi wa umma kutoka idara mbalimbali za Serikali wakiwa katika moja ya mafunzo yao ya Uongozi na Maadili huko Bagamoyo.

Baadhi ya Watumishi wa Serikali wakifurahia wakati wakihitimisha mafunzo yao ya Uongozi na Maadili mjini Bagamoyo, wa pili kulia ni Naibu Katibu Mtendaji wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania anayeshughulia Elimu ya Sheria kwa Umma Agnes Mgeyekwa

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment