VODACOM YAENDELEZA MWENDO MDUNDO NA "HABARI NDIYO HII" KWENYE VYOMBO VYA HABARI!!

Mkurugenzi wa Mtendaji wa Global Publishers Erick Shigongo(kushoto) akiwa ameshikilia moja ya zawadi aliyompatia Mkurugenzi wa Masoko wa Vodacom Tanzania Ephraim Mafuru mara baada ya kutembelea ofisi zao na kuwahabarisha kuhusu “habari ndiyo hii”ambapo mtandao wao ulivyoshusha gharama ya kuongea kwa shilingi 1 kwa sekunde siku nzima kwa wateja wa Vodacom.
Mkurugenzi wa maswala ya uhusiano wa Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba,Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers Erick Shigongo na Mkurugenzi wa masoko Ephraim Mafuru wakiwa wameshikilia bango lenye ujumbe wa “HABARI NDIYO HII” katika ofisi za ghazeti hilo ambapo wafanyakazi wa mtandao huo wanaendelea kutembelea vyombo vya habari na kufikisha ujumbe wao wa kushusha gharama ya kuongea kwa shilingi 1 kwa sekunde siku nzima kwa wateja wa Vodacom.kulia ni Meneja Mkuu wa Global Publishers.

Mkurugenzi wa Maswala ya uhusiano wa Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba akishuka kwenye ngazi kutembelea ofisi za Global Publishers akiwa ameambatana na Mkurugenzi wa Masoko Ephraim Mafuru wapili na Meneja wa Mawasiliano Nector P.Foya ambapo wafanyakazi wa mtandao huo wanaendelea kutembelea vyombo vya habari na kufikisha ujumbe wake wa kushusha gharama ya kuongea kwa shilingi 1 kwa sekunde siku nzima kwa wateja wa Vodacom.

Mkurugenzi wa Masoko wa Vodacom Tanzania Ephraim Mafuru(kushoto)Mkurugenzi wa maswala ya uhusiano Mwamvita Makamba na Meneja masoko wa Uhuru Publication Beatus Ismael wakiwa wameshikilia bango lenye ujumbe wa “HABARI NDIYO HII” katika ofisi za ghazeti hilo ambapo wafanyakazi wa mtandao huo wanaendelea kutembelea vyombo vya habari na kufikisha ujumbe wake wa kushusha gharama ya kuongea kwa shilingi 1 kwa sekunde siku nzima kwa wateja wa Vodacom

Mkurugenzi Mwandamizi wa ghazeti la Jamboleo Ben Kisaka (katikati)akiongea na Mkurugenzi wa Masoko wa Vodacom Tanzania Ephraim Mafuru(kushoto) na Mkurugenzi wa maswala ya uhusiano Mwamvita Makamba(kulia) katika ofisi za ghazeti hilo ambapo mtandao huo unaendelea kutembelea vyombo vya habari na kufikisha ujumbe wake wa kushusha gharama ya kuongea kwa shilingi 1 kwa sekunde siku nzima kwa wateja wa Vodacom.

Mkurugenzi mtendaji wa ghazeti la Jamboleo Juma Pindo akiwaonyesha wakurugenzi wa Vodacom Tanzania Ephraim Mafuru,Mwamvita Makamba namna wanavyofanya kazi zao kwa kutumia kompyuta wakurugenzi hao walifika katika ofisi za ghazeti hilo kwa lengo la kutembelea vyombo vya habari na kufikisha ujumbe wao wa kushusha gharama ya kuongea kwa shilingi 1 kwa sekunde siku nzima kwa wateja wa Vodacom.waliosimama kushoto ni Mkurugenzi mwandamizi Ben Kisaka na nyuma ya Pinto ni Mtaalamu wa Mambo ya Habari wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu.


You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment