![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh5G2z5v7BNGgaS3UerzjCQHdJYvR3RV-Jkl7WD9MZYQp0QgeKmHJsJww-4TLP_SNBXL0sanDTE_SJdEh-04-jvq2a9YQMrp290drL8nAyFaiYuwsdHcFSFddxFAm_n4EmGH6_0pQfQncs9/s400/2.jpg)
Mimi ni mwandishi wa habari na mtangazaji wa kituo cha redio cha 87.8 Ebony fm cha Iringa lakini mimi niko Dar-Mini Studio, naitwa Renatus Kiluvia,ni mmoja wa wafuatiliaji wazuri wa blog mbalimbali , blog yangu mpya niliyoianzisha inaitwa
http://www.muzikinamaisha.blogspot.com/,blog yangu inahusu muziki na maisha katika nyanja tofauti-tofauti,pia itahusika kuzungumzia burudani zingine kama filamu n.k.
Akhsante!!!!!!!!!!!
0 comments:
Post a Comment