
Simon Pandula amesema moja ya mambo yatakayoombewa ni pamoja katika huduma hiyo ni pamoja na majanga ya ukame , mambo ya ufisadi, mauaji ya Albino na mambo mengine mengi ikiwemo kuombea viongozi wa Taifa la Tanzania na watu kutoka makanisa mbalimbali wanakaribishwa.
Amesema ujenzi wa Kituo hicho unahitaji kiasi cha shilingi milioni 100.000.000 na kinatakiwa kianze huduma ifikapo mwezi wa tatu na mara kitakapoanza kitatoa huduma endelevu huku kikipokea watu kutoka mataifa mbalimbali kwa ajili ya maombi,
Ameongeza kwamba vituo kama hivyo vipo katika mataifa mengi kama vile nchini Uganada na Korea Kusini na akaongeza kwamba aktika kituo hicho pia kutajengwa ukumbi wa VIP kwa ajili ya watu mashuhuri na viongozi ili nao waweze kupata huduma hiyo, wengine wanaofuatia katika picha ni Mchungaji Adam Kialo wa kanisa la Naoith Gosp. Assembly na Mchungaji John Kalua wa kanisa la Aden Life Church.
0 comments:
Post a Comment