GOETHE INSTITUT YAWATAMBULISHA JOEL NA SUNDIATA KUTOKA UGANDA!!

Kundi la muziki wa Asili la Joel Sebunjo na Sundiata kutoka nchini Uganda lilifanya vitu vyake jukwaani kwenye ukumbi wa kituo cha utamaduni cha watu wa Urusi mwishoni mwa wiki iliyopita onyesho hilo lilikuwa limeandaliwa na taasisi ya Goethe Institute ya jijini Dar es asalaam, kundi hilo pia linatarajiwa kutumbuiza kwenye tamasha kubwa la Busara linalotarajiwa kuanza februari 11 mpaka 16 mjini Zanzibar.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment