Amesema onyesho lingine kubwa litafanyika kwenye tamasha kubwa la Sauti za Busara visiwani Zanzibar ambapo wanamuziki wenzie kutoka Japan wanatarajia kuwepo katika onyesho hilo kubwa atakalolifanya nchini kabla ya kufanya lingine mkoani Tanga kwenye ukumbi wa Habours februari 26, ambapo pia amewataka wakazi wote wa jiji la Tanga kukaa mkao wa kula.
Kwenye ukumbi wa idara ya habari maelezo Freshi jumbe kutoka kulia anayeongea aliongozana na Juma mbinzo Mratibu wa maonyesho hayo Asha Baraka mkurugenzi wa ASET na kiongozi wa bendi ya African Stars Lwiza Mbutu, kiingilio katika onyesho la LandMarck kitakuwa shilingi 7.000 tu mashabiki wa muziki mnakaribishwa kuona mambo ya Fresh Jumbe kutoka Japan.
0 comments:
Post a Comment