

Umati wa watu mbalimbali waliojitokeza kwenye mazishi ya Swetu, kweli alikuwa ni mtu wa watu hii imejidhihirisha kutokana na umati uliojitokeza kumzika katika makaburi ya Kisutu
Copyright © 2011 Hartmann Online
Theme Miss Jestina George, Designed by G5 DESIGNS
Blogger theme by G5 CLICK COMPAN
1 comments:
mungu ailaze roho yake mahala pema peponi amen alikuwa rafiki yangu,shemeji yangu,kaka yangu,mtani wangu,na zaidi ya yaho pia tulibahatika kuzaliwa tarehe moja hivyo tuliitana mapacha majonzi uliyotuachika na pengo uliloliacha halitazibika kamwe! haya wanajeshi wetu mnajisiakiaje kuliza wananchi wa taifa lenu? badala ya kutulinda mmeamua kutuua lakini inshallah mungu atawaangamizeni suwetu lala kwa amani amin
Post a Comment