Rais Armando Emilio Guebuza wa Msumbiji akinyoosha juu katiba ya Msumbiji muda mfupi baada ya kula kiapo kuendelea kuingoza nchi hiyo kwa muhula wa pili wa Urais katika sherehe zilizofanyika katika mji mkuu wa nchi hiyo Maputo.Kushoto ni Rais wa Mahakama ya katiba wa Msumbiji Luis Mondlane aliyemwapisha Rais Guebuza.(picha na Freddy Maro)
Rais Kikwete ahudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais Guebuza Msumbiji!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
1 comments:
Jamani First lady wetu Mama Salma ,Shez gorgeous mungu kamjalia na kababy face have a look na hizo sunglasses....U rock Diva unawakilisha U beaty wawanawake wa KtZ,,,Umodo mmemwona roll modo wetu more pic for her plzzzzz
Post a Comment