Mkataba wa mifugo na uvuvi kati ya China na Tanzania

Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi wa Tanzania John Magufuli ( kulia) akibadilishana hati na Waziri wa Kilimo wa China NIU DUN jijini jana katika sherehe ya kuwekeana saini mkataba wa makubaliano ya Mifugo na Uvuvi kati ya nchi za Tanzania na China . Picha na Mwanakombo Jumaa wa Maelezo.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

1 comments:

  1. Nyie mablogger au maripota fanyeni kazi iliyo kamili na sio vinginevyo. Hiyo mikataba wanayobadilishana inasemaje? Tunataka tujue ili itakapokiukwa tuwabane wahusika

Post a Comment