Kama unavyoona hii ni moja ya fulana zilizoandikwa ujumbe wa (ZINDIUKA) kampeni ya kutokomeza maralia ambayo itazinduliwa februari 13 kwa onyesho kubwa litakalofanyika kwenye viwanja vya Leaders Kionondoni huku mgeni wa heshima akiwa Rais Jakaya Kikwete, kampeni hiyo itaendeshwa karibu nchi nzima, pia kampeni hii ni kuhamasisha kizazi kipya cha vijana kupambana na ugonjwa wa maralia ili kuifanya jamii iliyo salama dhidi ya ugonjwa wa huo hapa nchini na inaratibiwa na Wizara ya Afya na Ustawi wa jamii pamoja na mradi wa kutokomeza maralia.
Baadhi ya wasanii wa muziki watakaopiga picha kwa ajili ya matangazo ya Redio, Telebisheni na Magazeti kwa ajili ya kampeni ya kutokomeza maralia nchini inayojulikana kama ZINDUKA wakiwa katika matayarisho hayo kwenye Hoteli ya Movenpick jijini Dar es salaam leo kutoka kulia ni Mfelo mpiga gitaa la bass kutoka B. Band, Taji Liundi mmoja wa wadau wanaoshughulikia kampeni hiyo, Marlow, Banana Zorro, Mpiga picha Raqey na Mwasiti.
mandalizi yakiendelea kwenye Hoteli ya Movenpick kwa ajili ya kupiga picha.
mandalizi yakiendelea kwenye Hoteli ya Movenpick kwa ajili ya kupiga picha.
Hizi ni baadhi ya nguo zitakazovaliwa na wasanii wakati wa kupiga picha.
1 comments:
naomba kueleweshwa...hivi hizo picha za hao wanamuziki ndo zitakazotokomeza malaria! au ni dawa ya kuua mbu! la ni dawa ya kuua wadudu wa malaria mwilini!
Post a Comment