Jaji Mstaafu Mark Bomani awa mwenyekiti wa EITI

Mwenyekiti wa Kamati ya kusimamia utekelezaji wa Majukumu ya Mpango wa Tansia ua Uziduaji (EITI -Extractive Industries Transparency Initiative ) Jaji Mstaafu Mark Bomani (kushoto) akiongea na Wajumbe wa Kamati yake ya EITI baada ya kutambulishwa. na Naibu Waziri wa Nashati na Madini Adam Malima (kulia) kwa wajumbe wa kamati hiyo jijini leo.. Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO..
Kamishna wa Madini katika Wizara ya Nishati na Madini Dr. Peter Dalali Kafumo (kulia) akisalimiana na Mwenyekiti wa Kamati ya kusimamia utekelezaji wa Majukumu ya Mpango wa Tansia ya Uziduaji.(EITI - Extractive Industries Transparency Initiative) Jaji Mstaafu Mark Bomani jijini leo katika hafla ya utambulisho kwa Mwenyekiti wa EITI kwa wajumbe wa Kamati hiyo.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

1 comments:

  1. Hongera kwa kutoa picha ya mkongwe Bomani. Kuna jamaa wamelalamika kwamba eti kwanini wazee wanang'ang'ania madaraka wasistaafu. Lakini si bora tuzifaidi busara zao, hata kama ni kidogo? Je, si bora kuwa na mtu anayefanya kazi hadi siku ya kufa kuliko yule anayetegea tu, kiuvivu uvivu? Halafu wazee kama hawa wana mastore kibao ya enzi ambazo tushazisahau. Ingefaa kuwahoji na kujifunza hata kama hatukubaliani na baadhi ya itikadi au fikra zao...

Post a Comment