Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Jambo Concepts Ltd,inayochapisha gazeti la Jambo Leo na jarida la Jambo Brand Tanzania, wakitakiana heri wakati wa hafla ya kumpongeza Mpiga Picha Mkuu wa gazeti hili, Richard Mwaikenda baada ya Baraza la Habari Tanzania (MCT) kumtunukia tuzo ya Mpiga Picha Bora 2009 jumamosi iliyopita.Hafla ya kumpongeza ilifanyika kwenye chumba cha habari cha Jambo Leo, Dar es Salaam jana. Picha zaidi uk. 17. (PICHA KASSIM MBAROUK)Richard Mwaikenda apongezwa na Jambo Concepts kwa tuzo ya mpiga picha bora 2009!!
Posted by
ADMIN
Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Jambo Concepts Ltd,inayochapisha gazeti la Jambo Leo na jarida la Jambo Brand Tanzania, wakitakiana heri wakati wa hafla ya kumpongeza Mpiga Picha Mkuu wa gazeti hili, Richard Mwaikenda baada ya Baraza la Habari Tanzania (MCT) kumtunukia tuzo ya Mpiga Picha Bora 2009 jumamosi iliyopita.Hafla ya kumpongeza ilifanyika kwenye chumba cha habari cha Jambo Leo, Dar es Salaam jana. Picha zaidi uk. 17. (PICHA KASSIM MBAROUK)You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)





1 comments:
hongera sana kaka tunzo hiyo inastahili kuja kwako umefanya kazi kwa muda mrefu na umakini lakini walikuwa wanakuminyia na yote yalisababishwa na ofisi yako ya mwanzo yaani majira, ubinafsi ulizidi, sijui hilo aliliona pinto hadi akaamuua kuanzisha jahazi lake nawatakia kazi njema
Post a Comment