![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhZG-AG3AePGrFo4Eq2YwFMJfpw2f97TcNTwXb0aBW3yobIhH9qu1y-MDOCHuwNcJ0mBYwD32XEZo3jpZLJxRLiKU2SGJGCXiQQG5NJ0hxueGT47gk59sWG4yOg_TmgT5B3Lc06CeRo1jPj/s400/7.jpg)
Joseph marwa ana kilo 87 wakati Rashid matumla ana kilo 86 na pambano lao litakuwa la uzito wa 86 na litakuwa la Raundi 10 na Rashid Matumla ameshawahi kuchukua mataji ya IBU,WBU na WBA wakati Joseph Marwa amewahi kuchukua mataji ya PABA na UBO , kiingilio katika mapambo hayo kitakuwa kati ya 3000. 5000 na 10.000 waote mnakaribishwa ili kujionea masumbwi hayo mazito.
1 comments:
hawa akina matumla njaa zitawaua.wote ni spent force wanatAFUTA NINI kwenye ring?
Post a Comment