Makamu wa Rais Dr.Ali Mohamed Shein akimpokea Rais Jakaya Kikwete muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere jioni hii akitokea Trinidad na Tobago pamoja na Cuba ambapo alihudhuria Mkutano wa Jumuiya ya Madola na kufanya ziara kikazi nchini Cuba na Jamaika.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na waandishi wa Habari katika uwanja wa JK Nyerere leo Pembeni ni Makamu wa Rais Dr.Ali mohamed Shein.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifafanua jambo wakati alipokuwa akijibu maswali ya waandishi wa habari muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa Mwalimu JK Nyerere akitokea katika visiwa vya Trinidad na Tobago ambapo alihudhuria mkutano wa wakuu wa nchi za jumuiya ya Madola papoja na kufanya ziara ya kikazi nchini Cuba.Kushoto ni Makamu wa rais Dr.Ali Mohamed Shein(picha na Freddy Maro)
0 comments:
Post a Comment